
Tuwalinde by Seghito ft Edwin Mrope
TAI Tanzania
Certified Creator
Wed Feb 12 2025
Mtoto hukuzwa kwa anachokiona kila siku. Namna mzazi anavyowasiliana na mtoto akiwa mdogo hujenga msingi wa jinsi atakavyokuwa akiwa mtu mzima. Taitanzania tukishirikiana na HDIF, tumetengeneza Animation yetu mpya ya Tuwalinde yenye kionjo cha Muziki inayolenga kuonyesha faida za elimu kwanza ya nyumbani kwa mtoto. Bado unajiuliza umuhimu wa mawasiliano kati ya mtoto na mzazi? Bonyeza video hii kujua hilo na mengi zaidi.