
Harakati za Lucy: Nawaza tu
TAI Tanzania
Certified Creator
Wed Feb 12 2025
Katika sehemu hii tunaona wasichana wenye umri balehe wanavyo pitia shida kutokana na kukosa elimu ya hedhi salama na vifaa vya kutumia kipindi cha hedhi. Angalia sehemu hii ya Harakati za Lucy na utuachie maoni yako kwenye sehemu ya maoni chini ya hii.