Tuwalinde Press Release.

Protect Children Rights

According to UNICEF, more than 140 million babies who need great care, love, guidance, and protection will be born in 2021.

As this new year begins, over 370,000 babies are expected to be born every day across the globe. With more than 5000 being born every day in Tanzania, the number of children keeps on rising. The country is domicile to more than 21 million people under 18 of which more than 2 million are classified as the most vulnerable children. With little or no access to basic needs like a nurturing home, food, healthcare, security, and education during this era of the pandemic and other various diseases, it is essential for parents, caregivers and everyone in the country to be reminded to care and protect all children.

This is why on 24th January 2021 Tai Tanzania has produced yet another animation music video to influence the indispensability of people to care, educate and protect children’s rights.

The captivating music video is called “Tuwalinde” meaning “Let Us Protect”. It informs Tanzanians about the importance of caring for and educating children and protecting them from contagious diseases like Covid-19, Cholera, and many more arising from lack of handwashing, eating healthy, and exercising which adversely affect hundreds of children every day. Funded by HDIF. Tai Tanzania aims to spread awareness about protecting children’s rights to more than 110 million beneficiaries through digital and offline platforms.

Creative assets like animated music videos are a powerful tool that can initiate behavioral change and create movements that bring positive change. As children are the leaders of tomorrow, we all have the responsibility to create spaces in which they can be properly nurtured and find guidance for their personal and future professional lives. Through the Tuwalinde Music Animation Video, parents and the whole community at large will be enlightened and motivated to protect children as they will understand how vulnerable children are within our society and what they expect to learn from them.

The Tuwalinde Music Animation Video is a product of the Tai Tanzania and HDIF’s fruitful collaboration to improve children’s lives and stand up for millions of children who need to be protected.

Snapshot of Tuwalinde 3D animation,

Children hold the future of the next generation. Let us protect them!

Linda Haki Za Watoto.

Kwa mujibu wa UNICEF, zaidi ya watoto milioni 140, wanaohitaji  upendo, mwongozo na kulindwa watazaliwa mwaka 2021.

Tuwalinde Animated Video by Tai Tanzania

Mwaka wa 2021, watoto zaidi ya 370,000 wanatarajia kuzaliwa kila siku, na kati ya hao, watoto 5000 watazaliwa nchini Tanzania. Tanzania ina watu wenye miaka chini ya kumi na nane zaidi ya milioni, ambapo katika kundi hili milioni 2 ni watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu. Maeneo ambayo hawapati mahitaji ya msingi kama vile makazi masafi, chakula, huduma, elimu ya afya na usalama wa kuwalinda watoto wasipate magojwa ambukizi kama Korona na Kipindupindu. Ni muhimu kwa wazazi  na walezi wote kukumbushwa kuhusu umuhimu wa kuwalinda watoto.

24/01/2021, Tai Tanzania ikishirikiana na HDIF, imetengeneza animation video ya muziki inayohamasisha wazazi, walezi na watu wote  katika jamii wajali, waelimishe na  walinde haki za watoto.

Video ya kuvutia ya muziki iliyotengenewa na Tai Tanzania inaitwa “Tuwalinde”, Muziki huu unaelimisha wazazi na walezi wa ki-Tanzania umuhimu wa kuwahudumia na kuwaelimisha watoto ipasavyo ili kuwatengenezea miavuli itayowakinga na magonjwa mbalimbali ambukizi na yale yanayojitokeza kwasababu ya kutonawa mikono mara kwa mara,  kukosa chakula chenye viinilishe na kufanya mazoezi. Tuwalinde ni video iliyotengenezwa kwa ufadhili wa HDIF na inakusudia kueneza ufahamu juu ya kulinda haki za watoto kwa walengwa zaidi ya milioni 110 kupitia majukwaa ya kidigitali na nje ya mtandao.

Usimulizi wa hadithi kupitia 3D Animation ni dhana yenye nguvu inayoweza kubadilisha mabadiliko ya tabia na kuunda harakati za kuleta maendeleo endelevu. Watoto ni viongozi wa kesho, sisi sote tunajukumu la kutengeneza uwanja mpana utaowawezesha kupata mahitaji ya msingi yatayowakuza kiafya na kielimu.

Kupitia Video ya Animation ya Muziki wa Tuwalinde, wazazi, walezi na kila mtu ndani ya jamii lengwa wanahasishwa kulinda na kutetea haki za watoto.

Snapshot of Tuwalinde animation.

Watoto ni hadhina ya kesho tuitakayo.Tuwalinde!

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *