SICHUKULII POA PRESS RELEASE. YOUR HEALTH IS YOUR WEALTH

SICHUKULII POA is a story that is based on HIV/AIDS. HIV (human immunodeficiency virus) is a virus that attacks cells that help the body fight infection, making a person more vulnerable to other infections and diseases. It is spread by contact with certain bodily fluids of a person with HIV. If left untreated, HIV can lead to the disease AIDS

Seven percent of Tanzanian adults age 15-49 are infected with HIV; prevalence among women is higher (8 percent) than among men (6 percent).

Image 01
A snapshot picture of Zongwe, Ngeti, and their teacher.

There is a rapid wave of HIV/AIDS transmissions amongst youngsters in the society. Caused by unhealthy lifestyle choices and lack of proper information on HIV/AIDS, the situation continues to fester on the community like an incurable disaster.

In our upcoming spectacular 3D animation, the story begins with ENGA, a 16-year-old student, who is also the head-girl at school, encourages many of her fellow students to visit a local clinic to gain awareness on HIV/AIDS and getting their health checked. Backed by Ngeti and Zongwe, she plans the excursion to the nurse at the clinic. Unfortunately for her, her schoolmates, led by SOFI, let her down as no one approaches the clinic. From a distinct recollection, Sofi is aggravated that the school backed Enga’s idea on Attending the clinic and not her idea of a sports bonanza to be held at their school. She sniffs out Enga’s secret: Enga is HIV positive and is on medication, then shames Enga in front of the whole school.

Enga publicly acknowledges her situation with bravery and urges her fellow students to do the same. She motivates even Sofi, that knowing one’s status is by far the better prevention than waiting to acquire it and getting medications. The story ends by the urge of students now willing to go to the clinic, and Sofi, being the first person to usher them in their seats, as the nurse gives them a seminar on HIV.

Confidence is when you decide to make the right decisions no matter how many people oppose your decisions. Deciding to get tested for HIV and getting your health back is a daunting task, although many will be surprised but will come to know its importance later.

Your health is your wealth; take care of it!

Sichukulii Poa Press release

Afya Yako ni Mali yako

SICHUKULII POA ni simulizi ambayo inaelimisha jamii kuhusiana na VVU. VVU ni virusi vinavyosababishwa na ukosefu wa kinga mwilini; ni virusi vinavyoshambulia seli zinazosaidia mwili kupambana na maambukizo ya magonjwa na kumfanya mtu kuwa hatarini zaidi kwa maambukizo na magonjwa mengine. Ukimwi unaenezwa kwa mgusano wa majimaji ya mwili ya mtu aliye na VVU. Ikiachwa bila kutibiwa, VVU inaweza kusababisha ugonjwa UKIMWI

Image 01
Picha ya Zongwe, Ngeti, na mwalimu wao.

Asilimia saba ya watu wazima wa Kitanzania wenye umri wa miaka 15-49 wameambukizwa VVU; kiwango cha maambukizi kati ya wanawake ni kubwa asilimia nane kuliko wanaume asilimia sita.

Kuna wimbi la kasi la maambukizi ya VVU / UKIMWI kati ya vijana katika jamii. Imesababishwa na uchaguzi mbaya wa mtindo wa maisha na ukosefu wa habari sahihi juu ya VVU / UKIMWI, hali hiyo inaendelea kuongezeka katika jamii kama janga lisilotibikaKupitia uelimishaji wetu wa kuvutia unaokuja kwa muundo vikaragosi, tumeainisha wajibu wa jamii kuhusiana na VVU kwa kutumia katuni chapa tatu ya Sichukulii Poa, hadithi inaanza na ENGA, mwanafunzi wa miaka 16, ambaye pia ni dada mkuu shuleni au Kiranja mkuu, anawahimiza wanafunzi wenzake wengi kutembelea zahanati ya karibu ili kupata uelewa juu ya VVU / UKIMWI na kupata mrejesho wa afya zao na kuchunguzwa. Akiungwa mkono na Ngeti na Zongwe, anapanga safari hiyo kwa muuguzi wa zahanati. Kwa bahati mbaya, wanafunzi wenzake wakiongozwa na SOFI, wote kwa Pamoja hakuna mtu anayefika kliniki. Sofi alikasirika kwamba shule iliunga mkono wazo la Enga juu ya Kuhudhuria kliniki na sio wazo lake la bonanza la michezo litakalofanyika shuleni kwao. Pia Sofi anaonekana akivujisha siri ya Enga. Akitangaza kuwa Enga ana VVU na yuko kwenye dawa, huku akimtia aibu Enga mbele ya shule nzima.

Hadithi ikiendelea; Enga anakubali hadharani hali yake kwa ujasiri na anahimiza wanafunzi wenzake kufanya vivyo hivyo. Anamhamasisha hata Sofi, kwamba kujua hali ya afya ni kinga bora zaidi kuliko kusubiri kupata dawa. Hadithi hiyo inaisha, wanafunzi wanaonekana kuguswa na kuhamasika kwenda kliniki. Sofi, akiwa mtu wa kwanza kuwaweka kwenye viti vyao. Muuguzi anaendelea na semina juu ya VVU.

Ujasiri ni pale unapoamuwa kufanya maamuzi sahihi bila kujali wangapi wanapinga maamuzi yako.

Kuchukua maamuzi ya kupima ukimwi na kupata mrejesho wa afya yako ni jambo lakishujaa, ingawa ni wengi watakushangaa lakini watakuja kujua umuhimu wake baadae.

Join the Conversation

1 Comment

  1. Very nice post. I just stumbled upon your weblog
    and wanted to say that I’ve really enjoyed surfing around your blog posts.

    In any case I’ll be subscribing to your feed and I hope you write again very
    soon!

Leave a comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *